ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Kumbe siku hizi timu ikifungwa tu, ni mgomo baridi kwa wachezaji? sio suala la kuzidiwa uwezo tena!
Afadhali huyo Simba apakatwe hivyo hivyo.Simba kapakatwa 1.
Hiyo inamaanisha wamezidiwa mkuu.Halafu hawa wachezaji wanacheza ovyo kweli, muda wote wanashambuliwa wao tu.
Ahsante mheshimiwa.Azam wapo mbele kwa goli 1-0 lililofungwa na Kipre Tchetche dakika ya 41 sasa ni dk ya 45 na ni mapumziko
Mkuu ndomyana matokeo ya Mbeya city na Mtibwa ni muhimu sana..ebu mwaga vitu.
Jana liverpool wameniharibia siku na hawa mgambo ndio wanataka kuchafua kabisa.
Hawataki hata kuisikia hiyo match.Wakitoka Tanga wanaenda mbeya kwa wapiga nyundo
Tanga ni HT: Mgambo 1-0 Simba.
Mwenzako Jana Majogoo yalinifanya nikae kiti kirefu kujipongeza nakusahau mateso yote yasababishwayo na MOYES.Jana liverpool wameniharibia siku na hawa mgambo ndio wanataka kuchafua kabisa.
Jana liverpool wameniharibia siku na hawa mgambo ndio wanataka kuchafua kabisa.
bado bila bila mpaka sasa
duuu kwani timu ikifungwa ndio mgomo au kutokuwa makini...
Hatanyinyi mulibebwa tu.Hawataki hata kuisikia hiyo match.
Hawataki hata kuisikia hiyo match.
Wakitoka Tanga wanaenda mbeya kwa wapiga nyundo
Kwani leo Tambi hayupo?They are born to always win, wakifungwa lazima waibuke na visingizio. Sikusikia habari ya mgomo kabla ya matokeo haya, baada ya bao tumeambiwa mgomo, likiingha jingine au hata wakisawazisha sijui tutaambiwaje; yetu masikio. Mgambo wakaze wasisawazishe hao Simba hadi mwisho na kulowanisha kibarua cha Logaloga.
Tulibebwa???,moja tu la ukweli.Hatanyinyi mulibebwa tu.