Live Updates: Azam & Simba Matches

Live Updates: Azam & Simba Matches

Tatizo la mikia ni kelele nyingi, ile timu kwa mtu anayechambua mpira haina lolote. Bahati mbaya sana hata kocha wao sijui ameletwa kwa ajili ya Yanga mie sielewi manake kutwa kucha yeye anaongelea Yanga tu. Juzi wakati wnakwenda Mtibwa yeye akabaki Dar eti kuisoma Yanga, halafu anatamba eti dawa ya Yanga anayo, wakati anaenda kupambana na Mtibwa ni akili hiyo? Huyu amekwisha cheza na Yanga si bora Mholanzi ndo angekuwa anawahangaikia Simba manake hajacheza nao? dah! kipondo kingine mbeya, lazima mkalishwe tuuuuuuu!
hivi hawa fifa mbona wanadharau sna kuhusu okwi km ingekuwa ni sehemu nyingine wangeshatoa majibu ila kwa kua ni east afrika hasa tz wamekaa kimya
 
Baada ya Yanga kuinyanyasa Comorozine de Domoni ya Comoro kwa magoli ya 'week' nzima; leo ni zamu ya Azam kukutana na Ferroviario ya Msumbiji katika uwanja wa Azam Complex. Wakati huo huo baada ya Simba kushikwa shati na Mtibwa Sugar, leo ipo Mkwakwani kukipiga na Mgambo Shooting. Naomba tushirikiane kupashana updates.

Azam 1-0 Ferroviario FT
Mgambo 1-0 Simba FT
Mbeya City 2-1 Mtibwa FT
Rhino 0-1 Coastal Union FT
ha!!kumbe mnyama alikamuliwa!!!
 
hivi hawa fifa mbona wanadharau sna kuhusu okwi km ingekuwa ni sehemu nyingine wangeshatoa majibu ila kwa kua ni east afrika hasa tz wamekaa kimya

ah, labda nao walishachoka na kuona timu za nchi moja zinavochongeana na kutoa siri zao kwa wapinzani wa nje!
 
Hiyo j,mosi tujimwage sokoine kushuhudia mnyama akidungwa sindano za moto.
 
Back
Top Bottom