ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Uishe hivi hivi!Dakika ya 32 Mgambo 1- Simba 0
Uishe hivi hivi!Dakika ya 32 Mgambo 1- Simba 0
Wachezaji wetu hawajielewi, wao wanadhani wanamkomoa kocha? Sana sana tunaoumia ni mashabiki na wanachama wa Simba na sio kocha. Na kama wataendelea kufanya vibaya watu wataacha kwenda uwanjani na wao posho zao lazima zipungue kwa hiyo hasara ni yao wenyewe.tunajua kuna mgomo baridi dhidi ya kocha
Simba kapakatwa 1.
Hahahahaha!mbona bado1?mandieta vipi mkuu. Uliwatabiria bao Mgambo tangu dak. 14 hatimaye likapatikana dk. 28 nini siri ya utambuzi huu? Ulienda Kwa Msisi?
Uishe hivi hivi!
Wachezaji wetu hawajielewi,
wao wanadhani wanamkomoa kocha? Sana sana tunaoumia ni mashabiki na
wanachama wa Simba na sio kocha. Na kama wataendelea kufanya vibaya watu
wataacha kwenda uwanjani na wao posho zao lazima zipungue kwa hiyo
hasara ni yao wenyewe.
tunajua kuna mgomo baridi dhidi ya kocha
duuu kwani timu ikifungwa ndio mgomo au kutokuwa makini...
Hahahahaha!Hapa mbeya au siyo?!mie naona hapa ni JF,anyway napita!Apa mbeya ni bilabila mtibwa na mbeya city
Hapa mbeya rahaaa soka la ukweli ssana
Uishe hivi hivi!