Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Dua kama hili atakama huyo Mungu angekua Mjomba wako asingelikubali.Simple!
Ewe M/Mungu muumba wa mbingu na ardhi,nipokelee DUA yangu hii ambayo sijalazimishwa kuiomba.
Najua kuna watu humu ndani wanaitwa ndetichia Kitoabu Masuke mapovu yatawatoka,ila wewe wapotezee tu maana kwako wewe hao ni wadogo kama "NUKTA"
Ila kwa kifupi wabariki hao jamaa wa Msumbiji wamchape Azam bao za kutosha,pia wabariki wapiganaji wetu MUGAMBO wachape huyo SIMBA wa maonyesho ya sabasaba!
Ahsante Mungu.
Cc ACCOUNT FULL Makoye Matale Masuke ndetichia Katavi watu8 Kitoabu
Uwanja wa Azam Complex mechi ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya Azam FC na Ferroviario da Beira imeanza bado ni 0-0 ni dk ya 2
Kikosi cha Simba ni Ivo Mapunda, Haruna Shamte, Issa Rashid, Donald Musoti, Joseph Owino, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Awadh Juma, Amri Kiemba, Hamis Tambwe na Ramadhani Singano
Baada ya Yanga kuinyanyasa Comorozine de Domoni ya Comoro kwa magoli ya 'week' nzima; leo ni zamu ya Azam kukutana na Ferroviario ya Msumbiji katika uwanja wa Azam Complex. Wakati huo huo baada ya Simba kushikwa shati na Mtibwa Sugar, leo ipo Mkwakwani kukipiga na Mgambo Shooting. Naomba tushirikiane kupashana updates.
Mungepatikana watu Kama nyinyi 3 tu basi angalau soccer letu lingetamba kimataifa.Nawatakia kila la heri Azam katika mechi kwani mechi hiyo haina madhara kwa timu yangu. Naiombea Mgambo Shooting iifunge Simba au hata itoe sare ili tubaki salama pale juu.
Pamoja Mkuu, leo wamakonde lazima tuwafute ndonya.Dak 16 zimekatika uwanjawa Azam Complex bado ni 0-0
Nawatakia kila la heri Azam katika mechi kwani mechi hiyo haina madhara kwa timu yangu. Naiombea Mgambo Shooting iifunge Simba au hata itoe sare ili tubaki salama pale juu.[/QUOTE]
hapo umenikuna sana