Acha kuchafua uzi huu.Tetesi,dk14:Mgambo1-0Simba.
Wenye taarifa kamili watujuze tafadhi.
Acha kuchafua uzi huu.Tetesi,dk14:Mgambo1-0Simba.
Wenye taarifa kamili watujuze tafadhi.
Simba nanyi mbona mnatuchelewesha kufurahi.
Unasikia wapi?Mbona nasikia kimeshanuka?
Dak. 25 Mgambo 0-0 Simba, hali bado ni shwari kama tunavyotaka.
Mbona nasikia kimeshanuka?
Sasa Ivo Mapunda nadhani anatakiwa kukaa benchi maana anadaka mipira halafu anaachia.
Mgambo wamepata goli.
Hatimaye kimenuka, dak. 28, kafunga Maganga kwa dead ball.
Acha kuchafua uzi huu.
Mgambo 1-0 Simba.
tunajua kuna mgomo baridi dhidi ya kocha