Live Updates: Azam & Simba Matches

Live Updates: Azam & Simba Matches

Dakika ya 56 Azam FC 1,ferroviario de Beira 0.asante kwa Kipre Tchetche goli la dakika ya 41.
 
Simba wakipoteza hii mechi natangaza kuwa shabiki mfu wa simba kuanzia jioni pale mpira utakapoisha na sitakaa niende uwanjani tena kuangalia mechi yoyote ya Simba wala kukaa kwenye TV kuangalia wakati Simba inacheza.

Tulia Mkuu Linarudi
 
Mkuu kauli nzito hiyo, kufungwa kawaida mkuu.
 
Back
Top Bottom