Live Updates: 2014 FA Cup Final Arsenal vs Hull City

Live Updates: 2014 FA Cup Final Arsenal vs Hull City

Kipindi cha pili kimeanza, sijui mzee wa kukuza vipaji atasalimika leo? Ngoja tuone.
 
watu wanarusha matokeo ya La Liga nani anajali La Liga mpaka real na Barca wacheze ndio tunajuwa La Liga wote Tupo FA Cup hata ingecheza QPR na Westham Final La Liga Leo ingekosa wakutizamwa huku Bora Arsenal ishinde kuna Mtoto BT Sports 1 anaonyshwa wa Arsenal analia baba yake anambembeleza mtoto kazaliwa 2005 na Pengine kazaliwa 2005 1stJuly! DonDonald mbembeleze Yule mtoto maskini.

Wa kuulaumiwaa ni wazazi wake wanashabikia timu ambayo kuchukua makombe sio fani yao

Ebana Kibabu bado anaishi Hull?

Inabidi watu watie timu leo kutakuwa kuzuri sana.
 
Atm wamesawazisha dah ! Twende sasa! Huku arsenal apigwe kule atm abebe kombe.
 
Dakika ya 52

Arsenal 1 Hull City 2

Kazi ipo leo
 
Wa kuulaumiwaa ni wazazi wake wanashabikia timu ambayo kuchukua makombe sio fani yao

Ebana Kibabu bado anaishi Hull?

Inabidi watu watie timu leo kutakuwa kuzuri sana.
. ya Kibabu yupo HULL na anashabikia Arsenal Kibabu.
 
Huyu Huddlestone wa Hull katulia sana pale kati, inabidi anunuliwe timu kubwa msimu ujao

Hivi Ozil yupo uwanjani?

Arsenal wanapata kona hapa

Inaokolewa

Dakika ya 57
 
Hull City naona wameamua isiwe tabu wacha wapaki bus

Arsenal wanapata foul, Huddlestone anapata kasi ya njano
 
Mkuu nipo huwa nafuatilia sana bayana zako....siku hizi bunge limepoteza mvuto....Haya ngoja tuone kipindi cha lala salama kama Katavi atasalimika

mkuu nitasalimika...
 
Arsenal wanafanya mabadiliko Padolski nje anaingia Sanogo

Dakika ya 61
 
Back
Top Bottom