We utakuwa Arsenal 🤣🤣🤣ingekuwa EPL nigeomba Chelsea amkande Man City
I wish chama langu Chelsea lishinde ili likate ticket ya kucheza walau Europa League moja kwa moja. Ila lina upuuzi mwingi sanaLeo mida ya saa 11 jioni, viwanja vya Wembley London, manguli wawili Chelsea na Manchester City wanakutana katika fainali za FA cup.
Tukutane hapa kwa live updates!