DonDonald
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,548
- 2,755
Ikiwa muda ndio unawadia wa mtanange huu kati ya Arsenal na Hull City {Kama baada ya 1 Hour}, wadau tutakuwa tukijulishana kinachoendelea hapo uwanjani.
Leo ni nafasi nzuri ya moja ya hizi timu kushinda kombe, ukikumbuka Arsenal mara ya mwisho kushinda kombe ilikuwa ni mwaka 2005 na Hull City ilikuwa 1966 {ingawa mwaka 2008 walishinda Championship play-off trophy}
Come on Hull City.
Starting line-ups to follow soon.
Half Time
Arsenal 1 Hull City 2
Full Time {After Extra Time}
Arsenal 3 Hull City 2
Arsenal wamekuwa ni mabingwa wa FA Cup 2014