ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,590
La liga
namwona diego costa analia yuko nje pale
itakuwa alipania mno..
La liga
namwona diego costa analia yuko nje pale
Hawezi kujiuzulu atafukuzwa
Poor D.Costa katolewa akiwa ameumia na analia pale benchi.
Dakika ya 21 Arsenal wanakosa goli hapa
Barca wameamua waumize wachezaji wa ATM
sasa wewe hutaki goons wacheke leo duu wachamoko katavi richard shangilieni mfanikiwe..
Barca wameamua waumize wachezaji wa ATM
anasubiri awape red mbili tu..Barca wanakera mbaya, halafu hawayapigi kadi ya njano.
Tupo hapa tunafuatilia kwa umakini.
Huyu jamaa alikuwa hajapona kama Ronaldo ila wamemlazimisha kucheza,huenda akakosa fainali ya Champions League na World Cup
Barca vipi..
Barca wanakera mbaya, halafu hawayapigi kadi ya njano.