Live Updates: 2014 FA Cup Final Arsenal vs Hull City

Live Updates: 2014 FA Cup Final Arsenal vs Hull City

Naombea timu zote zinazoongoza hadi muda huu zimalize kwa ushindi

ha ha ha haa mcubic bana upo? Tumepotezana sana tangu mchakato wa katiba usimame.

Nikirejea kwenye mada naunga mkono mawazo yako ila kwa mechi ya Wembley tu.
 
Last edited by a moderator:
Haka kajamaa ka Hull kalitaka kufungisha

Sijui ni kashabiki ka Arsenal

Dakika ya 45 sasa
 
Hull City wangekuwa wanafundishwa na Mourihno kwa dakika hizi 45 zilizobakia ,washabiki wa Arsenal wangekuwa wameshajua matokeo yatakavyokuwa
 
Kipindi cha pili tunarejea kwa nguvu zote, nadhani FT. kibao kitasomeka arsenal 4-2 hull city.

Kila la Kheri na unavyofikili

Ohh kuna mtu kaniambia kwenye uwanja wa Wembley, huo upande ambapo kipa wa Arsenal atakuwepo, huwaga goli hilo kipindi cha pili halilalagi na njaa
 
Ila atletico ni wajinga wao walitakiwa kushinda ile gemu waliofungwa wangechukua ila wameyataka wenyewe.. Ngoja tuone nini kina fuata..
 
watu wanarusha matokeo ya La Liga nani anajali La Liga mpaka real na Barca wacheze ndio tunajuwa La Liga wote Tupo FA Cup hata ingecheza QPR na Westham Final La Liga Leo ingekosa wakutizamwa huku Bora Arsenal ishinde kuna Mtoto BT Sports 1 anaonyshwa wa Arsenal analia baba yake anambembeleza mtoto kazaliwa 2005 na Pengine kazaliwa 2005 1stJuly! DonDonald mbembeleze Yule mtoto maskini.
 
ha ha ha haa mcubic bana upo? Tumepotezana sana tangu mchakato wa katiba usimame.

Nikirejea kwenye mada naunga mkono mawazo yako ila kwa mechi ya Wembley tu.

Mkuu nipo huwa nafuatilia sana bayana zako....siku hizi bunge limepoteza mvuto....Haya ngoja tuone kipindi cha lala salama kama Katavi atasalimika
 
Last edited by a moderator:
Kipindi cha lala salama ndio kimeanza sasa
 
Mkuu nipo huwa nafuatilia sana bayana zako....siku hizi bunge limepoteza mvuto....Haya ngoja tuone kipindi cha lala salama kama Katavi atasalimika

Sawa sawa mkuu, nakupata sawa sawia, tuwepo.
 
Back
Top Bottom