Live Updates: 2014 FA Cup Final Arsenal vs Hull City

Live Updates: 2014 FA Cup Final Arsenal vs Hull City

Nimekimbia tv.....muendelee kutupa updates....naogopa kuangalia
 
Full Time

Arsenal 2 Hull City 2

Dakika 30 kuongezwa mpaka kieleweke leo
 
Atletico wanabeba ndoo ya La Liga rasmi baada ya mpira kwisha kwa sare ya 1 kwa 1, wakiwa vinara wa ligi kwa poiti 90 wakifuatiwa na barca wao wakiwa na pointi 87,
mcubic pole.
 
Last edited by a moderator:
Dondonald utamkoma Rubaman wakishinda manake Leo unataka kieleweke hehehe.
 
Hawa Hull City wamechoka wanashambuliwa sasa

Arsenal wamekosa goli hapa, imegonga mwamba
 
Back
Top Bottom