. mkuu hii Hongera nimeipenda Kama vile kudadeki (hongera)hehehe. HULL ET walikuwa umaji wao wenyewe waliomba mpira uishe.Mpira umekwisha
Arsenal Mabingwa
Hongera
At last we won the cup after a couple of years, 'HE LAUGHS BETTER WHO LAUGHS LAST'.
Natmani niLIKE comment yako mara kumi ila nashindwa .. VERRY HAPPY.
Ahsante mkuu tujipongeze manake FA CUP si haba.
. DonDonald Humu jamiiforum sport ligi ya ujerumani haipendwi au nao si Final Leo naona. Dortmund wanamabeki wazuri kweli mstari mzima nyuma Beki Nne na. Beki 5 na wa kushoto wote wakali timu zisipowagombania basi.Nilikuambia mimi nipo mpaka mwisho
{Habari ya Uhakika} Tunasubili Mechi ya Holland na Ecuador iishe tumtangaze kocha wetu rasmi
Ila Hongera Mkuu, miaka 9 mingi
. DonDonald Humu jamiiforum sport ligi ya ujerumani haipendwi au nao si Final Leo naona. Dortmund wanamabeki wazuri kweli mstari mzima nyuma Beki Nne na. Beki 5 na wa kushoto wote wakali timu zisipowagombania basi.