Live Updates: 2014 FA Cup Final Arsenal vs Hull City

Live Updates: 2014 FA Cup Final Arsenal vs Hull City

Msiseme hatukuwaambia

Hull City wanamaliza ukame wao leo

Arsenal 0 Hull City 1

Mfungaji Chester dakika ya 4
 
arsenal kweli wamebobea kupigwa yaani hata kaHull City jasho linawatoka-go to hell arse8
 
Ndo kwanza game limeanza,team Arsenal
 
Goooo dk ya 8 hul wanapata bao la 2,
asn 0-2 hul
tunaendelea
 
Dakika ya 8

Arsenal 0 Hull City 2

Wafungaji Chester dakika ya 5 na Cartis Davis dakika ya 7
 
If this is the way then many of the gunners are going to mourn today.
 
Dakika ya 12 Hull City wanapata kona

Kona ya kwanza walifunga okay
 
Ohhhhh Arsenal wameokoa kwenye chaki

kazi ipo leo
 
Back
Top Bottom