Laliga
Barca 0-0 Atletico
dk 10
natamani barca wapigwe kabisa sijui kwa nini tu yani
Laliga
Barca 0-0 Atletico
dk 10
Leo Wenger anaweza akajiuzulu
duu ishakula kwa mutu chacha..Unamaanisha Giroud atafunga own goal?
Gooo dk ya 16 asn wanapata goli la 1,
sasa asn 1-2 hul, tunaendelea
sasa wewe hutaki goons wacheke leo duu wachamoko katavi richard shangilieni mfanikiwe..pumbafu carzola!
HULL CITY TOENI MATAILI SASA MPAKI BASI.
natamani barca wapigwe kabisa sijui kwa nini tu yani
nani mchomoaji..