Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
Maneno ya mkosaji....watoto wanazingua sana yanga haina uwezo kabisa wakuizidi azam..
Yanga 1-0 Azam
Maneno ya mkosaji....watoto wanazingua sana yanga haina uwezo kabisa wakuizidi azam..
hapa naona azam fc wanazingua tu hata yanga hawana mpira wa kuizidi azam hence proved..
1 - 1 half time
Sizitaki mbichi hizi!!hapa naona azam fc wanazingua tu hata yanga hawana mpira wa kuizidi azam hence proved..
Maneno ya mkosaji....
Yanga 1-0 Azam
ayaaaaaaaaaa kipa wetu dida kaumia lol!
Dk 89:Yanga1-0Azam.
Muda umeisha sasa ni dak. 90+3, huyu refa vipi?
tehe tehe bd mkia sasa
Sasa ni dak. 90+6 mins.
Hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapo....Mpira hauchezwi mdomoni, unachezwa uwanjani....haya mpataji ndio mjue kabisa kwenye ligi lazima mkae..
Muda umeisha sasa ni dak. 90+3, huyu refa vipi?
Azam wanaweza mambo ya AZAM TV...lambalamba, matangazo ya kandanda na mpira wapi na wapi?
Yanga wamewakumbusha Azam kuwa siku zote mtoto hakai na hela, akiwa nazo sio zake bali anachezea za babake kama sio mjomba wake.
Alamsiki