ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
Azam nao vimeo
wewe usiichukulie poa mkuu..
Azam nao vimeo
Azam nao vimeo
wewe usiichukulie poa mkuu..
Na mwali ndio huyooooo kishatoka anamsubili bwana ake ambaye ni Yanga aje akabidhiwe achape mwendo.moris vipi himid vip mwaikimba vipi..
Naomba Frequency zao Tafadhali
Naona mashabiki wa Azam/Simba wanaanza kuondoka uwanjani sasa.
Hata YANGA, wana uwezo wa kuongeza la pili na la tatu, na mpira ukaisha.
Na mwali ndio huyooooo kishatoka anamsubili bwana ake ambaye ni Yanga aje akabidhiwe achape mwendo.
Maneno ya mkosajihapa naona azam fc wanazingua tu hata yanga hawana mpira wa kuizidi azam hence proved..
Dak. 85 bado Yanga 1-0 Azam.
Babu wenger vp matokeo?