Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

Jamani final results vipi huko? Wengine hatupo Dar kwa sasa. Tupe matokeo.

Tiba
 
Ongereni Yanga kwa kuchukua ngao. Ni Mwanzo mzuri wa kufungua pazia la Azam cola.
 
Hongera Saana Dar Young African mmedhihirisha ni mabingwa wa Kweli. Young African bila Ngassa Yondani na Barthez Mnaweza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom