Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

poleni Azam pamoja na dada zenu, maana najua huu msiba unawahusu wote.!!
 
asante ndio mpira sio kila siku sherehe kumbuka mkuu..

Ila inaonekana Azam ni mteja wa kidumu pale Jangwani.
Tatizo ni umoja wenu wa kinafiki ndio unaowaponza, kaa mbali na Simba kidogo utapunguziwa kipigo.!!
 
Ila inaonekana Azam ni mteja wa kidumu pale Jangwani.
Tatizo ni umoja wenu wa kinafiki ndio unaowaponza, kaa mbali na Simba kidogo utapunguziwa kipigo.!!

hakuna umoja mkuu wachezaji wenyewe ndio wameridhika kiboya yanga haina mpira kiivo ni uzembe tu wakijinga..
 
Jibu wamelipata baada ya dk 900000
Golini kama ameingia Dida, Yanga ndio basi tena!. Subirini kichapo. Hamjiulizi kwa nini Yondani na Bartez wameumia kimagumashi!!. Jibu mtalipata baada ya dk 90
 
hakuna umoja mkuu wachezaji wenyewe ndio wameridhika kiboya yanga haina mpira kiivo ni uzembe tu wakijinga..

Bora kama umelitambua hilo mkuu, wachezaji wa Azam wanapewa kila kitu tatizo ni kujiona wanaweza sana.. hivyo kusahau wajibu wao.

Timu ya Azam ilitakiwa kutoa upinzani wa kweli kwa Yanga, na kuonyesha utofauti fulani lakini imekua kinyume chake.!!
 
kwa vile timu zingine hazijui kucheza au..

Wanajua mpira, isipokuwa watakandamizwa kama kawa. Kama tulivyowakandamiza na kujipatia makombe 24, tunahitaji ubingwa wa 25 ili tusherehekee Silver Jubilee ya kuwa bingwa Tanzania Bara. Kwa hakika si Azam wala Simba watakao tupa taabu kutimiza azma hii, upinzani mkali safari hii utatoka nje ya Dar, possibly Tanga, hata hivyo nao wanakandamizika.
 
mbona hakuna anayesema score ni ngapi kwa ngapi??....wabongo bana!!.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom