ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
Azam vipi? Fumueni hayo Yanga warudi jangwani wakale vumbi
huyo boco anachosha..
Azam vipi? Fumueni hayo Yanga warudi jangwani wakale vumbi
ghalasa Ngassa tulilowaachia vipi ..?
Azam wana nafasi ya kusawazisha na kuongeza la pili na mpira ukaisha.
huyo boco anachosha..
Yanga SC funga hao Lambalamba AZAM FC ili Simba waendelee kuichukia Yanga SC
Kafanyaje tena mkuu
Nauliza Radio gani inatangaza mtanange huu niko mbali na maeneo ya mji
jipe moyo mwaikimba anasawazisha..
Kuingia kwa Javu kumefufua striking force ya Yanga. Dak. 80 hiyo.