ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
Hahahahahaha.
J3 tunaamukia CAF sasa!!
Lazima mshushwe daraja.
nyie toeni hela mtaongezewa dau muanze kulia lia hapa.. kalipeni hela za msomali..
Hahahahahaha.
J3 tunaamukia CAF sasa!!
Lazima mshushwe daraja.
nyie toeni hela mtaongezewa dau muanze kulia lia hapa.. kalipeni hela za msomali..
Nd'uh'u tab'hu, egelaga tub'honeke!
Azam kwa Yanga ni sawa na mbwa kwa Chatu!
nyie toeni hela mtaongezewa dau muanze kulia lia hapa.. kalipeni hela za msomali..
hamna mpira wakuisumbua azam mkuu ndio maana mnaishia moja moja tu hii sio simba wala vila mkuu this is azam..
South mlipeleka Sembe
Kama kwa Twite, Msomali hapati chochote, alizitoa kimakosa hana legal power kuzidai. Ahesabu hasara tu.
ngano na nyanya mbona ujamalizia..
ngano na nyanya mbona ujamalizia..
Sasa hivi Tanzania ni maarufu kwa Sembe duniani
Nani kafunga wapwa
Nani kafunga wapwa
Hatimaye Azam (pamoja na dada yao, Simba) wamekaa! Yanga 1 wao 0.Maumivu yakizidi...