Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Mechi imesimama, baada ya KGR Sugar kusawazisha, mashabiki wa Simba wanaleta fujo na kung'oa viti uwanjani.
Kesho watakaa wapi? Simba wameniboa sana leo.
Mechi imesimama, baada ya KGR Sugar kusawazisha, mashabiki wa Simba wanaleta fujo na kung'oa viti uwanjani.
Simba wameshinda 1-1.Nawapeni hongera bila hiyana,ila ivo viti mtalipa hakyanani!
Asante sana mkuu kwa updates,,,,,,,nilikuwa kama nipo uwanjani.........natangulia kukaribisha wageni bhana...
Kesho watakaa wapi? Simba wameniboa sana leo.
Hii Kagera si ndiko anatoka rais wa TFF....?? am just connecting the dots, na kinachotoke hapo uwanjani.
Dk 90+4
Simba SC 1 - 1 Kagera S
Kagera wanapata bao kwa penati
Mpira umekwisha....
Mashabiki wa Simba wanafanya fujo na askari wa FFU wanafanya kazi yao....
Sijui kwa nini leo mashabiki wa Simba wanafanya wakati kwao droo ni sawa na ushindi...namna gani paleee
Shukrani nawe mkuu...naona jinamizi la droo linazidi kuwaandama...
kuna shabiki wa simba kapigwa tanganyika jeki na polisi anatembelea ncha ya kucha
Hii Kagera si ndiko anatoka rais wa TFF....?? am just connecting the dots, na kinachotoke hapo uwanjani.
Mkuu hongereni kwa ushindi wenu wa sare ...ndo mpira huo...
Kwa kweli naona ushindi wa sare umewakifu