Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Huyu refa matatizo kweli, kwanza muda ulikuwa umeshaisha, pili jamaa amekwatuliwa nje ya 18, anyway yeye ndo mwamuzi wa mwisho.
 
Wamefungwa wanaanza kung'oa viti... mabomu....
 
Mechi imesimama, baada ya KGR Sugar kusawazisha, mashabiki wa Simba wanaleta fujo na kung'oa viti uwanjani.
 
Dk 90+5

Simba SC 1 - 1 Kagera S

Salum Kanoni anaifungia Kagera bao kwa penati

Asante sana mkuu kwa updates,,,,,,,nilikuwa kama nipo uwanjani.........natangulia kukaribisha wageni bhana...
 
Hii Kagera si ndiko anatoka rais wa TFF....?? am just connecting the dots, na kinachotoke hapo uwanjani.
 
Simba wameshinda 1-1.Nawapeni hongera bila hiyana,ila ivo viti mtalipa hakyanani!
 
Mbona simba mnaletavurugu sasa..?? Mihuwa nashangaa kuskia simba anacheza soccer wakati ukienda serengeti,ngrongoro n.k hukuti viwanja vya mpira
 
Kagera wamechomoa na mpira umekwisha simba km al shabab now wanang'oa vt na kuvitupa uwanjani...Policcm km kawa pigeni tu "pm'
 
Back
Top Bottom