yuko Kagera kitambo na ana uzoefu wa kutosha kwenye mechi kubwa kama hii...ila Poulsen hajamuona bado.Huyu Paul ni mzuri wajameni..... kifutiboli...
Uandishi huu ni wa kuofia kusogezwa nafasi ya 4 bila shaka.
40 = 85? Bora uishe tupande petu kilele
Uandishi huu ni wa kuofia kusogezwa nafasi ya 4 bila shaka.
Wamechoka au wanacheza defensive game?Simba wamechoka..... wanachezewa nusu uwanja..
simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba simba
Basi bwana.Ww una mechi nyingi bila shaka..
simba wanarudi kileleni leo
Penati kwenda Simba.