Live: Update mkutano wa DR magufuli -Singida Mjini

Live: Update mkutano wa DR magufuli -Singida Mjini

sasa ni zamu ya January- anasema tarehe 25/10/2015 nchi itakuwa njia panda na kuna njia mbili watanzania wanataka kuzichagua (1) Njia ya CCM imeandikwa amani, upendo na maendeleo ( 2) Njia ya pili ni ya Ukawa imeandikwa Vurugu, Udini, Ufisadi na ukanda. Watanzania mmetakiwa kuchagua njia ya ccm ambayo ni ya amani, upendo na maendeleo

Hivi mnadanganyia watt pipi au mnajaribu kunadi sera kwa wapiga kura shame on you!wakenya wanatuita wadanganyika kwa sababu yenu safari hii hata mkipiga kelele mpaka mtage hatukubali!ni lzm muachie madaraka...,hakuna mtanzania anayejielewa asiye na maslahi na nyie atawapigia kura,mwisho wenu ushafika!
 
1. Chilolo amchana Lowasa mbaya

2. Live Mwigulu akiwachana Ukawa

3. Bulembo- Gwajima amesema misikiti itageuzwa sunday school lowasa akiingia ikulu na lowasa hajamkemea
4. Bulembo - Gwajima amesema Lowasa hataki kura za wakatoliki, Muislim bali anataka za waluther na walokole tu
5. Bulembo- Mdee anasema patachimbika hivyo amtaka kwanza aende Labour kujifungua ndio aje aseme patachimbika kwani hawezi kuwa mwanamke kabla ya kupata mtoto.

6. Ukawa ni wadini, wakanda na wapenda vurugu bulembo amewataka watanzania kuwapuuzia na kumchagua Magufuli

Sasa ni zamu ya Rais Mtarajiwa Dr Magufuli kusema na wana Singida


Bulembo naye mtu kati ya watu?
 
Mmeona wivu mkaanza kutunga? Tatizo ukawa watu wanajitolea kutufahamisha. Alipo tupo
 
Mwambie Bulembo hawa ni waislam unaona vibarakashia hivyo!?

Wakati wa kuwafanya waislamu daraja la kuingia madarakani umepotwa na wakati!
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1443882930.323983.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1443882930.323983.jpg
    39.5 KB · Views: 278
magufuli ndo nani? (kwa sauti ya joti)
Ndio yule kenge anaye piga pushapu hadharani mm ninahisi yule mzee anakipaji cha mieleka sema urais analazimisha tu Au tuseme wamempakazia.
 
Kumnadi Magufuri unahitaji uwe na kipaji cha pekee
hafai kwenye nafasi ya rais
mkurupukaji katika maamuzi
hana haiba
hana hekima
hana busara
mwaka huu ccm mmepotea vilivyo
mtajuta sana na kampeni zenu za kipuuuzi
 
Kuna matusi mengine CCM wanadhani wanatukana Chadema kumbe wanatukana wananchi...Kusema Halima Mdee si mwanamke mpaka aende labour, ni kuwatukana wagumba wote kuwa si wanawake! Namsahangaa Wema Sepetu kupigia kampeni CCM ilhali anatukanwa kwa ugumba!
 
ooh my god, darasa la saba? ndio maana nimeshindwa kumtofautisha na wale vinara wa mihadhara ya uchochezi wa kidini..... kwa kiwango hicho cha elimu namsamehe bure,
.

mkuu msameheni bure. bila hayo anayoyachochea hawezi kuzungumza. mwaka huu hatugawanyiki kamwe....lowasaa na juma duni ndo machaguo yetu..
 
First Lady wa upande wa pili mbona hatumuoni? Kuna kitu kimejificha hapa
 
Badala ya kuuza sera ninyi eti "mnawachana" bahati mbaya Lowassa na hao UKAWA hawachaniki badala yake mnajichana wenyewe kwa mitusi yenu…SHAME SHAME!! mpaka naona aibu kwa nini nilikuwa CCM

Tokea ukawa waanze kampeni hawajawahi kuzungumzia ilani yao zaidi ya kuichana ccm kwa kuongelea mapungufu tu, ni haki yao ccm kuwajibu kwa kuwachana vile vile.
 
Wajinga tu ndo wanaoweza kumsikiliza Bulembo

Kwenye sanduku la kura hakuna za wajinga na werevu.
Ni idadi tu.
Hesabu za kujumlisha tu na wala si za kutoa.
Ushafahamu sasa.
Wewe baki na uerevu wako huku wajinga wakimsikiliza bulembo na kupiga kura.
 
Tokea ukawa waanze kampeni hawajawahi kuzungumzia ilani yao zaidi ya kuichana ccm kwa kuongelea mapungufu tu, ni haki yao ccm kuwajibu kwa kuwachana vile vile.

mkuu tatizo umeweka ushabiki. mwaka huu ccm inaongoza kutukana kwenye kampeni kuliko ukawa....
 
Back
Top Bottom