Live: Update mkutano wa DR magufuli -Singida Mjini

Live: Update mkutano wa DR magufuli -Singida Mjini

1. Chilolo amchana Lowasa mbaya

2. Live Mwigulu akiwachana Ukawa

Nyie nawaomba muendelee kuwachana bila kujua kuwa ndio mnawapaka marashi UKAWA.Matusi mnayoyatoa yanapowafikia wananchi wanafumba macho na kuomba na hatimaye yanabadilishwa na kuwa baraka kwa Mh Edward Ngoyai Lowassa.
 
1. Chilolo amchana Lowasa mbaya

2. Live Mwigulu akiwachana Ukawa

Mkuu kwa sasa ADUI NAMBA MOJA wa Taifa hili ni CCM, Tushirikiane kumuondoa mnyonyaji huyu wa Mali ya UMMA.

Ikatae CCM, ili uweze kuikataa KATIBA YA CHENGE NA SITTA. Kwa manufaa yetu sote na manufaa ya vizazi vijavyo.
 
Dhamira ya kuwasaidia Wanasingida sio kwa ajili ya Ubunge bali ni kwa uzawa Mo Dewji
 
1. Chilolo amchana Lowasa mbaya

2. Live Mwigulu akiwachana Ukawa

Yaani matusi yenu kwa Lowassa ndio kwanza nakuwa ni manukato kwa wapiga kura na watanzania Jamani CCM hata mfanye nini hatuko pamoja na nyinyi tumewachoka mnashindwa kutuambia mliyoyafanya mnatuletea uongo mpya acheni hizo
 
Duuhh...!!!! Huyu Bulembo anasema kuwa Mgana Msindai alihama CCM sababu ni kupe wa Lowassa.... hatari


Kisha anasema tena eti Tundu Lissu hafai kuwa mbunge sababu ana miaka 55 lakini kwao ikungi hana nyumba anaishi kwa baba yake...
 
Bulembo ni marufuko lowasa, msindai na sumaye kurudi ccm
 
Mpuuzi ni yule anaemsiya lowassa anaiponda ccm mbona mtenda yoote alikuwa lowassa muulizeni alichofanya
 
bulembo: Gwajima amesema misikiti itageuzwa kuwa sunday school na lowasa anashabikia
 
ccm imechoka. inalazimisha kuingiza sera za udini kuwagawa watanzania kisa tu ccm ipewe kura. mwaka huu ccm watajiju. kura zetu ni kwa lowasa. bila kujali tofauti za dini zetu, kabila zetu na hata mikoa yetu..lowasaaaa.....
 
Duuhh...!!!! Huyu Bulembo anasema kuwa Mgana Msindai alihama CCM sababu ni kupe wa Lowassa.... hatari


Kisha anasema tena eti Tundu Lissu hafai kuwa mbunge sababu ana miaka 55 lakini kwao ikungi hana nyumba anaishi kwa baba yake...

mbona yeye ni kupe wa ccm? mtumbo wote ule ni unyonyaji wa kodi zetu..
 
teh teh ccm hata wafanye nini wanajisumbua tu, tayari Mungu ameweka tick kwa LOWASSA
VIVA UKAWA!!!!
 
Ukawa mmesomeya matusi niviroba kwasana

We uko pori gani mbona ata kuandika hujui? hivi kati ya UKAWA na ccm nani kasomea matusi na anatumia viroba? mbona kama Nape na Mwigulu ndio wanafit hapa zaidi?

VIVA UKAWA!!!!
 
kana paka mmoja inaitwa bulembo inajitahidi kweli kutafuta machafuko nchini kwa kuchimba udini. kutukana watu matusi ya nguoni na kudhalilisha utu. Nec inapaswa kumwangalia mtu huyu kwa jicho la tatu kabla hajafanikisha kiu yake ya kuzimwaga damu za watanzania. kwa jinsi ninavyouona uelewa wa watu sasa hivi kama bulembo ataendelea na azma yake mbovu vita vya wenyewe kwa wenyewe ni dhahiri. chukueni maneno yangu mtajaniambia...
.
 
mdee kusema patachimbika aende leba kwanza ndo arudi aseme patachimbika ina maana hajaonja machungu ya kujifungua
 
3. Bulembo- Gwajima amesema misikiti itageuzwa sunday school lowasa akiingia ikulu na lowasa hajamkemea
4. Bulembo - Gwajima amesema Lowasa hataki kura za wakatoliki, Muislim bali anataka za waluther na walokole tu
5. Bulembo- Mdee anasema patachimbika hivyo amtaka kwanza aende Labour kujifungua ndio aje aseme patachimbika kwani hawezi kuwa mwanamke kabla ya kupata mtoto.

6. Ukawa ni wadini, wakanda na wapenda vurugu bulembo amewataka watanzania kuwapuuzia na kumchagua Magufuli

Sasa ni zamu ya Rais Mtarajiwa Dr Magufuli kusema na wana Singida

DR MAGUFULI ANASEMA

1. Anapenda amani na umoja wa kitaifa

2. Anawashangaa viongozi kama Sumaye na Lowasa waliokaa madarakani kwa zaidi ya miaka 10 na kuserma serikali haijafanya kitu ilihali wanayaona maendeleo yalivyo hivi sasa

3. Ataufanya Singida kuwa Mji mkuu wa Biashara Tanzania na Singida itakuwa ya viwanda
 
msione aibu kuweka picha maana nataka niweke ile ua lowassaa hapo mlipo leo tulinganishe
 
Ukiona chama kinajikita kwenye udini na ukabila ujue kimezidiwa, wakatoliki waislamu hawana maatizo na walutherani ccm mnalazimisha kura kwa kutugawa shame upon you lakini ni matokeo ya kukosa watu wenye busara na kubakia na nape na january wema na anti ezekiel
 
Back
Top Bottom