Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,094
1. Chilolo amchana Lowasa mbaya
2. Live Mwigulu akiwachana Ukawa
3. Bulembo- Gwajima amesema misikiti itageuzwa sunday school lowasa akiingia ikulu na lowasa hajamkemea
4. Bulembo - Gwajima amesema Lowasa hataki kura za wakatoliki, Muislim bali anataka za waluther na walokole tu
5. Bulembo- Mdee anasema patachimbika hivyo amtaka kwanza aende Labour kujifungua ndio aje aseme patachimbika kwani hawezi kuwa mwanamke kabla ya kupata mtoto.
6. Ukawa ni wadini, wakanda na wapenda vurugu bulembo amewataka watanzania kuwapuuzia na kumchagua Magufuli
Sasa ni zamu ya Rais Mtarajiwa Dr Magufuli kusema na wana Singida
HIVI HAWA JAMAA,BILA KUMTAJA LOWASSA KAMPENI ZAO HAZIWEZI KWENDA??
AJABU SANA!!!
WANAZIDI KUMPAISHA.
SISI WA TZ TUNABAKIA KUJIULIZA KWA NINI WAMSHAMBULIE? LAZIMA KUNA WALAKINI YAWEZEKANA NI MTU SAFI!
ii