Live: Update mkutano wa DR magufuli -Singida Mjini

Live: Update mkutano wa DR magufuli -Singida Mjini

Mkuu kwa sasa ADUI NAMBA MOJA wa Taifa hili ni CCM, Tushirikiane kumuondoa mnyonyaji huyu wa Mali ya UMMA.

Ikatae CCM, ili uweze kuikataa KATIBA YA CHENGE NA SITTA. Kwa manufaa yetu sote na manufaa ya vizazi vijavyo.

Usihofu mkuu tulishaikataa CCM zamani hasa kipindi cha escrow,kipindihiki watackia tu ela za mboga,na nyoka wa makengezanae atasikiatu vijisenti.CCM bye.
 
mbona yeye ni kupe wa ccm? mtumbo wote ule ni unyonyaji wa kodi zetu..
Ndiomaana kilasiku nawadharau haya majitu ya ccm!ivi nyumba ya mtu inaniusu nn hasa katika kipindi hiki kigumu namba hii?LISU awe na nyumba asiwenayo itanipa maendeleogani mm au kwa watanzania? he.
 
Hatutaki makamo wa Rais msagaji, malaya anayelala na vijana wadogo wa chuo cha CBE Dodoma.. Kama ndoa yake na mumewe imemshinda kuimarisha muungano ataweza

Uwiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiii

Mkuu huyu mama sahii kashaanza kuvaa vile vipedo/tyt vyeusi kama vya wale micharuko wake wanampigia kampenii..
Ushungi ule ni unafkii tuu..
Kiufupi mgombea na mwenza wake wote micharuko
 
1. Chilolo amchana Lowasa mbaya

2. Live Mwigulu akiwachana Ukawa

3. Bulembo- Gwajima amesema misikiti itageuzwa sunday school lowasa akiingia ikulu na lowasa hajamkemea
4. Bulembo - Gwajima amesema Lowasa hataki kura za wakatoliki, Muislim bali anataka za waluther na walokole tu
5. Bulembo- Mdee anasema patachimbika hivyo amtaka kwanza aende Labour kujifungua ndio aje aseme patachimbika kwani hawezi kuwa mwanamke kabla ya kupata mtoto.

6. Ukawa ni wadini, wakanda na wapenda vurugu bulembo amewataka watanzania kuwapuuzia na kumchagua Magufuli

Sasa ni zamu ya Rais Mtarajiwa Dr Magufuli kusema na wana Singida

they cant be seriuos! Wameishaona watanzania wana muda wa kupoteza? Watu wameenda kusikiliza sera na kuwambia mmefanya nini na mtawafanyia nini next... nyie mnamaliza mkutano kwa matusi na kuchochea udini na ukanda.
 
Hakuna Jipya Hapo!! Zoooote Remix Tupuuu!!! Matusi, Kashfa, Dharau, Uchochezi, Udini, Ukanda, Ukabila, Ugonjwa N.k. Vyote Hivyo Watanzania Wameshavisikia Na Wameshavizoea!! Na Jipya Hakuna, Mmebakia KUPAYUKA Tu Sasa!!
 
Leo niliamua kuangalia mkutano wa wqna wa lumumba wakiwa singida wameniboa sana, mambo ya kuongea ni mengi ila sera zenu ni lowasa, ukawa, udini wa tabora, hii inaleta picha gani katika ulimwengu wa wastaarabu. Komaeni or else mnapigwa asubuhi kabla ya ibada au misa ya pili kuisha.
 
Huo UDINI Wenu CCM, Hata Miaka Ya 90 Wkt. CUF Wako Juu Kisiasa Nchini!! CCM Na SERIKALI Yake, WAKASEMA CUF Ni CHAMA Cha Kiislam, Kwa Vile Viongozi Wake WOOTE Ni Waislam!! Pia Ni CHAMA Cha Kigaidi, Ambacho Kinafadhiriwa Na BAADHI Ya Nchi Za Kiarabu!! Wakaenda Mbali Zaidi Kwa Kusema CUF Wameingiza Makontena Ya Majambia, Mapanga, Bakora, Visu N.k Ili Kuja KULETA Vurugu Nchini!!!! MATOKEO CUF Ikaporomoko Kisiasa!! Sasa Hiyo Ndio Silaha Yao Kubwa Kwao!!! Ila 2015 MMECHELEWA!!
 
kana paka mmoja inaitwa bulembo inajitahidi kweli kutafuta machafuko nchini kwa kuchimba udini. kutukana watu matusi ya nguoni na kudhalilisha utu. Nec inapaswa kumwangalia mtu huyu kwa jicho la tatu kabla hajafanikisha kiu yake ya kuzimwaga damu za watanzania. kwa jinsi ninavyouona uelewa wa watu sasa hivi kama bulembo ataendelea na azma yake mbovu vita vya wenyewe kwa wenyewe ni dhahiri. chukueni maneno yangu mtajaniambia...
.

unajua maana ya vita vya wenyewe kwa wenyewe ww. unajua maana ya vita vya kidin uliza africa ya kati. au unajua maana ya vita vya ukabila uliza sudan ya kusin. au unajua maana ya vita vya ukanda. uliza nigeria au angola au hata DRC.
sio suala la kutamka tu. vita ni balaa. haina macho. wanaokufa ni wasiohusika. hawa viongoz watakuwa zao ulaya. akina mbowe wote hao wana nyumba dubai cjui uingereza wengine RSA.
acha kushabikia vita mjinga mkubwa ww. huna akili ww. utapoteza ukoo wako wote ulie mpaka utoe machoz ya damu.
tutapiga kura na atakaeshinda na ashinde tu. hatupo tayari kufa kwa ajiri ya mbowe au lowasa au magufuli.
atakaeshinda sawa tu maadam ni mtanzania halis poa tu.
kila mtanzania ana haki ya kuwa kiongozi maadam tu ametimiza vigezo vyote vya kuwa na haki ya kuwa rais. hata akishinda hashim rungwe poa tu. si ni mtz. ana haki ya kuwa rais.
tuache akili za ki ..mku..ndu apa.
 
Sasa mbona unamtusi ilhali kauli katoa Bulembo?
 
Back
Top Bottom