Hahhahahaa naona umeamua kuniharibia kabisa ila najua huyu mtoto ni wangu kuna mchakato tunamalizia kule mikahawani hapa naona watu mnataka kuipeperushia ndege hivi hivi

Afadhali jamani dah,yaani ukipata wadada watatu kama wewe raha sana siyo kama 'valentina' yaani hapendi kuona na mimi nafurahi anataka afurahi yeye tu!
ahaa ngoja aje utamkubali, akimaliza hapo anakuwa proffessa...
utamtaka?
atapata semina kibao za ulaya na marekani,
na huko huwa wanaenda wawili wawili nafasi iko wazi kwako