ahaa ngoja aje utamkubali, akimaliza hapo anakuwa proffessa...
utamtaka?
atapata semina kibao za ulaya na marekani,
na huko huwa wanaenda wawili wawili nafasi iko wazi kwako
Vigezo nimekidhi mama pls moyo wangu unapata shida juu yako naomba uwe tulizo la moyo wangu mtoto masikio hayachoki kusikia sauti yako hakika mungu alifanya upendeleo juu ya uumbaji wako,nahisi mwenye bahati ya kukutana na wewe binti mrembo pls come on nataka uwe wangu tena wa maisha....