Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Feb 3, 2014 #1,641 kiwatengu said: kuna mdada wa ukweli anaitwa Bantu lady ngoja aje hapa afu, umtongoze! Click to expand... Nimekuja kiwatengu but si kwa kutongozwa. Muone kwanza, we si umeona sifa nilizotaka? halafu yeye ana macho kwanini umsemee? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kiwatengu said: kuna mdada wa ukweli anaitwa Bantu lady ngoja aje hapa afu, umtongoze! Click to expand... Nimekuja kiwatengu but si kwa kutongozwa. Muone kwanza, we si umeona sifa nilizotaka? halafu yeye ana macho kwanini umsemee?
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,830 Feb 3, 2014 Thread starter #1,642 Bantu lady said: Nimekuja kiwatengu but si kwa kutongozwa. Muone kwanza, we si umeona sifa nilizotaka? halafu yeye ana macho kwanini umsemee? Click to expand... mi nimempa tu taarifa, ujue kupendana raha sana.. ngoja nione mtongozano hapa huyu jamaa tokea juzi anatafuta wakumpoza..
Bantu lady said: Nimekuja kiwatengu but si kwa kutongozwa. Muone kwanza, we si umeona sifa nilizotaka? halafu yeye ana macho kwanini umsemee? Click to expand... mi nimempa tu taarifa, ujue kupendana raha sana.. ngoja nione mtongozano hapa huyu jamaa tokea juzi anatafuta wakumpoza..
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Feb 3, 2014 #1,643 kiwatengu said: mi nimempa tu taarifa, ujue kupendana raha sana.. ngoja nione mtongozano hapa huyu jamaa tokea juzi anatafuta wakumpoza.. Click to expand... Hata mimi napenda kuona watu wakitongozana!!!
kiwatengu said: mi nimempa tu taarifa, ujue kupendana raha sana.. ngoja nione mtongozano hapa huyu jamaa tokea juzi anatafuta wakumpoza.. Click to expand... Hata mimi napenda kuona watu wakitongozana!!!
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 14,563 Reaction score 22,839 Feb 3, 2014 #1,644 kiwatengu said: kuna mdada wa ukweli anaitwa Bantu lady ngoja aje hapa afu, umtongoze! Click to expand... Mwambie aje kipande hii namuhitaji naona huyu mke wa mtu anataka kuniingiza majaribuni
kiwatengu said: kuna mdada wa ukweli anaitwa Bantu lady ngoja aje hapa afu, umtongoze! Click to expand... Mwambie aje kipande hii namuhitaji naona huyu mke wa mtu anataka kuniingiza majaribuni
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,830 Feb 3, 2014 Thread starter #1,645 Honey Faith said: Hata mimi napenda kuona watu wakitongozana!!! Click to expand... ahaaa...hivi hakuna nikichoharibu hapa? we wako kabanga kama sijakosea, niambie niweke list vizuri.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Honey Faith said: Hata mimi napenda kuona watu wakitongozana!!! Click to expand... ahaaa...hivi hakuna nikichoharibu hapa? we wako kabanga kama sijakosea, niambie niweke list vizuri..
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Feb 3, 2014 #1,646 kiwatengu said: ahaaa...hivi hakuna nikichoharibu hapa? we wako kabanga kama sijakosea, niambie niweke list vizuri.. Click to expand... Hapana nahisi umechanganya mafile Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kiwatengu said: ahaaa...hivi hakuna nikichoharibu hapa? we wako kabanga kama sijakosea, niambie niweke list vizuri.. Click to expand... Hapana nahisi umechanganya mafile
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,830 Feb 3, 2014 Thread starter #1,647 Daudi1 said: Mwambie aje kipande hii namuhitaji naona huyu mke wa mtu anataka kuniingiza majaribuni Click to expand... yupo hii mitaa kamatia penyewe mkuu. mlegeze ujibebee...
Daudi1 said: Mwambie aje kipande hii namuhitaji naona huyu mke wa mtu anataka kuniingiza majaribuni Click to expand... yupo hii mitaa kamatia penyewe mkuu. mlegeze ujibebee...
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Feb 3, 2014 #1,648 kiwatengu said: mi nimempa tu taarifa, ujue kupendana raha sana.. ngoja nione mtongozano hapa huyu jamaa tokea juzi anatafuta wakumpoza.. Click to expand... Duh toka juzi na hajapata hata wa kupepesea macho? Kupendana raha sana kiwatengu. Ukimpata mnayeendana si tofauti na wewe.
kiwatengu said: mi nimempa tu taarifa, ujue kupendana raha sana.. ngoja nione mtongozano hapa huyu jamaa tokea juzi anatafuta wakumpoza.. Click to expand... Duh toka juzi na hajapata hata wa kupepesea macho? Kupendana raha sana kiwatengu. Ukimpata mnayeendana si tofauti na wewe.
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,830 Feb 3, 2014 Thread starter #1,649 Honey Faith said: Hapana nahisi umechanganya mafile Click to expand... ha ha ha ha Honey Faith itabidi basi iwe hivyo, kumbe hukukubaliana na jamaa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Honey Faith said: Hapana nahisi umechanganya mafile Click to expand... ha ha ha ha Honey Faith itabidi basi iwe hivyo, kumbe hukukubaliana na jamaa
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 14,563 Reaction score 22,839 Feb 3, 2014 #1,650 Bantu lady said: Nimekuja kiwatengu but si kwa kutongozwa. Muone kwanza, we si umeona sifa nilizotaka? halafu yeye ana macho kwanini umsemee? Click to expand... Aaaah jamani mrembo mbona unakuwa hivyo sogea huku basi tuongee jamani ee
Bantu lady said: Nimekuja kiwatengu but si kwa kutongozwa. Muone kwanza, we si umeona sifa nilizotaka? halafu yeye ana macho kwanini umsemee? Click to expand... Aaaah jamani mrembo mbona unakuwa hivyo sogea huku basi tuongee jamani ee
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,830 Feb 3, 2014 Thread starter #1,651 Bantu lady said: Duh toka juzi na hajapata hata wa kupepesea macho? Kupendana raha sana kiwatengu. Ukimpata mnayeendana si tofauti na wewe. Click to expand... oyaaaa we Daudi1 mrembo yuko hapa anasubiria vocals, dont delay. Golden chance for u Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bantu lady said: Duh toka juzi na hajapata hata wa kupepesea macho? Kupendana raha sana kiwatengu. Ukimpata mnayeendana si tofauti na wewe. Click to expand... oyaaaa we Daudi1 mrembo yuko hapa anasubiria vocals, dont delay. Golden chance for u
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,830 Feb 3, 2014 Thread starter #1,652 Daudi1 said: Aaaah jamani mrembo mbona unakuwa hivyo sogea huku basi tuongee jamani ee Click to expand... poa endeleza mambo hapa, hadi kieleweke, niko kwa pembeni hapa watching ma utamu from u two!!!
Daudi1 said: Aaaah jamani mrembo mbona unakuwa hivyo sogea huku basi tuongee jamani ee Click to expand... poa endeleza mambo hapa, hadi kieleweke, niko kwa pembeni hapa watching ma utamu from u two!!!
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Feb 3, 2014 #1,653 kiwatengu said: ha ha ha ha Honey Faith itabidi basi iwe hivyo, kumbe hukukubaliana na jamaa Click to expand... Hakukidhi masharti yangu nikaamua niachane nae Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kiwatengu said: ha ha ha ha Honey Faith itabidi basi iwe hivyo, kumbe hukukubaliana na jamaa Click to expand... Hakukidhi masharti yangu nikaamua niachane nae
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 14,563 Reaction score 22,839 Feb 3, 2014 #1,654 Bantu lady said: Duh toka juzi na hajapata hata wa kupepesea macho? Kupendana raha sana kiwatengu. Ukimpata mnayeendana si tofauti na wewe. Click to expand... Unajua mmejificha sana jamani hatuwaoni usijali kamwe hautajutia kuwa na mimi come this way
Bantu lady said: Duh toka juzi na hajapata hata wa kupepesea macho? Kupendana raha sana kiwatengu. Ukimpata mnayeendana si tofauti na wewe. Click to expand... Unajua mmejificha sana jamani hatuwaoni usijali kamwe hautajutia kuwa na mimi come this way
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 14,563 Reaction score 22,839 Feb 3, 2014 #1,655 kiwatengu said: oyaaaa we Daudi1 mrembo yuko hapa anasubiria vocals, dont delay. Golden chance for u Click to expand... Ok mkuu dah mpaka jua limeniishia aisee kumbe vitu vizuri havipatikani kirahisi ee
kiwatengu said: oyaaaa we Daudi1 mrembo yuko hapa anasubiria vocals, dont delay. Golden chance for u Click to expand... Ok mkuu dah mpaka jua limeniishia aisee kumbe vitu vizuri havipatikani kirahisi ee
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,830 Feb 3, 2014 Thread starter #1,656 Honey Faith said: Hakukidhi masharti yangu nikaamua niachane nae Click to expand... hapana inabidi mchezo uanze mwanzo, aisee inamaana kabanga na ujanja wake wote wa kwenye NBAA alishindwa kukulegeza? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Honey Faith said: Hakukidhi masharti yangu nikaamua niachane nae Click to expand... hapana inabidi mchezo uanze mwanzo, aisee inamaana kabanga na ujanja wake wote wa kwenye NBAA alishindwa kukulegeza?
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Feb 3, 2014 #1,657 Kwahiyo kiwatengu nikwite kuwadi ama. Hahahaaa una kazi wewe. Daudi1 mimi sijui kama utaniweza, halafu sifa zako ziweke hapa. Kiwatengu macho yamemtoka.
Kwahiyo kiwatengu nikwite kuwadi ama. Hahahaaa una kazi wewe. Daudi1 mimi sijui kama utaniweza, halafu sifa zako ziweke hapa. Kiwatengu macho yamemtoka.
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,830 Feb 3, 2014 Thread starter #1,658 Bantu lady said: Kwahiyo kiwatengu nikwite kuwadi ama. Hahahaaa una kazi wewe. Daudi1 mimi sijui kama utaniweza, halafu sifa zako ziweke hapa. Kiwatengu macho yamemtoka. Click to expand... msikilize kwanza mi siyo kuwadi wala nini ila napenda sana kuona watu wakipendana
Bantu lady said: Kwahiyo kiwatengu nikwite kuwadi ama. Hahahaaa una kazi wewe. Daudi1 mimi sijui kama utaniweza, halafu sifa zako ziweke hapa. Kiwatengu macho yamemtoka. Click to expand... msikilize kwanza mi siyo kuwadi wala nini ila napenda sana kuona watu wakipendana
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,437 Reaction score 4,828 Feb 3, 2014 #1,659 kiwatengu said: afadhali uwe unadanganya. hivyo hivyo Click to expand... We shauri yako ukilimwa talaka na mkeo
kiwatengu said: afadhali uwe unadanganya. hivyo hivyo Click to expand... We shauri yako ukilimwa talaka na mkeo
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,830 Feb 3, 2014 Thread starter #1,660 Chocs said: We shauri yako ukilimwa talaka na mkeo Click to expand... talaka itoke wapi? anacodes za kikojoleo changu haki function mpaka ridhaa yake
Chocs said: We shauri yako ukilimwa talaka na mkeo Click to expand... talaka itoke wapi? anacodes za kikojoleo changu haki function mpaka ridhaa yake