mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,427 Jan 17, 2014 #1,141 'Valentina' said: N a t a m a n i .. .. Click to expand... kumbe unataman ngoja nikufanyie visa Valentina Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
'Valentina' said: N a t a m a n i .. .. Click to expand... kumbe unataman ngoja nikufanyie visa Valentina
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jan 17, 2014 #1,142 kiwatengu said: Ha ha ha vipi mdomo umekuwa mzito gafla? Click to expand... teh teh teh.... kiwatengu si wajua kutongoza nayo ni fani....! subiri ajibu uone! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kiwatengu said: Ha ha ha vipi mdomo umekuwa mzito gafla? Click to expand... teh teh teh.... kiwatengu si wajua kutongoza nayo ni fani....! subiri ajibu uone!
Queen Horse JF-Expert Member Joined Sep 12, 2013 Posts 414 Reaction score 317 Jan 17, 2014 #1,143 binamutz said: si upo single mdada halafu nyie mpo weng ujue ndo maana upo plan b je ungekuwa plan z Click to expand... Ha ha haaa mbavu zangu miee
binamutz said: si upo single mdada halafu nyie mpo weng ujue ndo maana upo plan b je ungekuwa plan z Click to expand... Ha ha haaa mbavu zangu miee
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,427 Jan 17, 2014 #1,144 Queen Horse said: Ha ha haaa mbavu zangu miee Click to expand... poleee zinauma enhe hahahaha
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,830 Jan 17, 2014 Thread starter #1,145 binamutz said: poleee zinauma enhe hahahaha Click to expand... Safi sana ..naona una mpango mzuri, mwisho wa siku unajikuta unawachumba 10.
binamutz said: poleee zinauma enhe hahahaha Click to expand... Safi sana ..naona una mpango mzuri, mwisho wa siku unajikuta unawachumba 10.
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,427 Jan 17, 2014 #1,146 kiwatengu said: Safi sana ..naona una mpango mzuri, mwisho wa siku unajikuta unawachumba 10. Click to expand... me wangu@price tu sijui yupo wap au job yambana sana dash mc u Price Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kiwatengu said: Safi sana ..naona una mpango mzuri, mwisho wa siku unajikuta unawachumba 10. Click to expand... me wangu@price tu sijui yupo wap au job yambana sana dash mc u Price
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Jan 17, 2014 #1,147 Nini kinaendelea hapa!
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,427 Jan 17, 2014 #1,148 Munkari said: Nini kinaendelea hapa! Click to expand... mtongozo Munkari karibu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,830 Jan 17, 2014 Thread starter #1,149 binamutz said: me wangu@price tu sijui yupo wap au job yambana sana dash mc u Price Click to expand... Jana aliniambia leo atakuwa chuo, so mngojee atakuja tu!! Coz anakupenda sana Price Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
binamutz said: me wangu@price tu sijui yupo wap au job yambana sana dash mc u Price Click to expand... Jana aliniambia leo atakuwa chuo, so mngojee atakuja tu!! Coz anakupenda sana Price
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,427 Jan 17, 2014 #1,150 kiwatengu said: Jana aliniambia leo atakuwa chuo, so mngojee atakuja tu!! Coz anakupenda sana Price Click to expand... kumbe yupo chuo nishaghail ctak yaliyonikuta mwanzo na mwanafunz ya chuo yajirudie tena Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kiwatengu said: Jana aliniambia leo atakuwa chuo, so mngojee atakuja tu!! Coz anakupenda sana Price Click to expand... kumbe yupo chuo nishaghail ctak yaliyonikuta mwanzo na mwanafunz ya chuo yajirudie tena
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Jan 17, 2014 #1,151 binamutz said: mtongozo Munkari karibu Click to expand... kwahyo namimi naruhusiwa kutongoza ama ? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,303 Reaction score 17,830 Jan 17, 2014 Thread starter #1,152 binamutz said: kumbe yupo chuo nishaghail ctak yaliyonikuta mwanzo na mwanafunz ya chuo yajirudie tena Click to expand... Kwani wote waliopo vyuoni ni wanafunzi mkuu, we unadhani Price ni mwanachuo? Hapana, anafanya kazi. Si umenielewa? Haya sasa endelea kumpenda. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
binamutz said: kumbe yupo chuo nishaghail ctak yaliyonikuta mwanzo na mwanafunz ya chuo yajirudie tena Click to expand... Kwani wote waliopo vyuoni ni wanafunzi mkuu, we unadhani Price ni mwanachuo? Hapana, anafanya kazi. Si umenielewa? Haya sasa endelea kumpenda.
Queen Horse JF-Expert Member Joined Sep 12, 2013 Posts 414 Reaction score 317 Jan 17, 2014 #1,153 binamutz said: kumbe yupo chuo nishaghail ctak yaliyonikuta mwanzo na mwanafunz ya chuo yajirudie tena Click to expand... Njoo kwangu mi form 4 leaver
binamutz said: kumbe yupo chuo nishaghail ctak yaliyonikuta mwanzo na mwanafunz ya chuo yajirudie tena Click to expand... Njoo kwangu mi form 4 leaver
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,548 Jan 17, 2014 #1,154 Price said: Mmmh! hakika! napendwa na nani tena Click to expand... Kesho nakuomba ofisini kwangu First thing early in the morning.
Price said: Mmmh! hakika! napendwa na nani tena Click to expand... Kesho nakuomba ofisini kwangu First thing early in the morning.
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,548 Jan 17, 2014 #1,155 Munkari said: kwahyo namimi naruhusiwa kutongoza ama ? Click to expand... Wewe unaruhusiwa kunitongoza mimi tu.
Munkari said: kwahyo namimi naruhusiwa kutongoza ama ? Click to expand... Wewe unaruhusiwa kunitongoza mimi tu.
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Jan 17, 2014 #1,156 Baba V said: Wewe unaruhusiwa kunitongoza mimi tu. Click to expand... na mama V je! Nisijeshushiwa kipondo!
Baba V said: Wewe unaruhusiwa kunitongoza mimi tu. Click to expand... na mama V je! Nisijeshushiwa kipondo!
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,589 Jan 17, 2014 #1,157 kumchukua mzima mzima nani tena huyo? nitonye said: Ukitaka kupiga juu kwa juu sawa ila kumchukua mazima mazima itakucost Click to expand...
kumchukua mzima mzima nani tena huyo? nitonye said: Ukitaka kupiga juu kwa juu sawa ila kumchukua mazima mazima itakucost Click to expand...
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,427 Jan 17, 2014 #1,158 Queen Horse said: Njoo kwangu mi form 4 leaver Click to expand... hahahahahaha ntakupm
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,427 Jan 17, 2014 #1,159 kiwatengu said: Kwani wote waliopo vyuoni ni wanafunzi mkuu, we unadhani Price ni mwanachuo? Hapana, anafanya kazi. Si umenielewa? Haya sasa endelea kumpenda. Click to expand... basi sawa mkuu nilijua dent hahaha Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kiwatengu said: Kwani wote waliopo vyuoni ni wanafunzi mkuu, we unadhani Price ni mwanachuo? Hapana, anafanya kazi. Si umenielewa? Haya sasa endelea kumpenda. Click to expand... basi sawa mkuu nilijua dent hahaha
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,427 Jan 17, 2014 #1,160 Munkari said: kwahyo namimi naruhusiwa kutongoza ama ? Click to expand... unaruhusiwa ww tu kwa uliyempenda
Munkari said: kwahyo namimi naruhusiwa kutongoza ama ? Click to expand... unaruhusiwa ww tu kwa uliyempenda