Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Mmmh! hakika! napendwa na nani tena
Price nashndwa cha kusema cjui Niku pm ndo ujue nakupenda sana nikinywa maji nakuona kwa glass usiku silali nakuwaza ww tu first tym kukuona jf moyo ulinidunda kama kitenesi kipya nikifumba macho naona unaniita pia mimi meneja was m-pesa ni hayo tu nakupenda sana
 
Last edited by a moderator:

usijaribu kwenda huko PM we komaa nae hapa hapa..
bado uko vizuri na namwona anakuja kwako vizuri sana.
 
Haaa haaa haaaaa! dah! yani kama mwaka 97 vile.. Sasa usiku hulali huwa unafanya nn..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…