Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,211
Ewaaaaa unajua mambo mazuri sana mrembo lamomy, kwanza naomba nikubadilishie jina nikuite laazizi wanguMhmm.!! Naijua hiyo π€£π€£π€£
ππππππ₯π₯π₯π₯π₯
πΉπΉπΉ eti kaka unakubaliana na haya kweli? Mimi na Mbaga toka lini??π€£π€£π€£
teh teh teh ndio uonane na ma expert sasa. mimi mwenyewe hapa natongoza hivyo na bado kidogo nakubaliwa ujue. sema kuna hivi vizee vinataka kuweka kauzibe flani hivi.Ndo unisaidie sasa mkuu
πΉπΉπΉ mnasemaga hivyo hivyo baadae wanatokea watu na vyeti vya ndoa na watoto mgongoniAchana na huyo mzee, nipo hapa kwa ajili yako.
sijawahi kuoa mimi.
Kaka shadow kesho game yetu na Simba SC tunatoboa ?Hatari sana
π€£π€£π€£ sio Lamomy tena nishakuwa laaziz??Ewaaaaa unajua mambo mazuri sana mrembo lamomy, kwanza naomba nikubadilishie jina nikuite laazizi wangu
πππ Huyu huyu Lamomy au nimesoma vibaya bruhteh teh teh ndio uonane na ma expert sasa. mimi mwenyewe hapa natongoza hivyo na bado kidogo nakubaliwa ujue. sema kuna hivi vizee vinataka kuweka kauzibe flani hivi.
Lamomy nakupendaaaaa
Viazi vipo jikoni karibu kigamboniAcha ukorofiπ
Hapo utalogwa broAisee, hadi familia kabisa hutaki nipate huyo mtoto?
Vinatoka wapi sasa?πΉπΉπΉ mnasemaga hivyo hivyo baadae wanatokea watu na vyeti vya ndoa na watoto mgongoni
πππ€£π€£π€£π€£π€£πππππππππ Huyu huyu Lamomy au nimesoma vibaya bruh