Jf ni maisha. Chagua style yakoJF mpk uzi wa mtongozano upo khaaa!! πΉπΉ
Bantu Lady sisy nimekuona shemeji yuko wapi ss hivi? ππ
Now days wanafanya kweli, na madhara yake ni makubwa.Enzi zenu mlikuwa mnacheza kibaba na kimama nowadays waungwana wanafanya kweli ohhh π€£π€£π€£
Fumba macho usiioneπAkhu, π€¦ββοΈ
Mwenzio naona aibu.!! π€
Halafu nimeona shemeji alikuwa anaitwa sungura πΉπΉπΉJf ni maisha. Chagua style yako
Vijana wa GEN Z hawataki utoto πΉπΉπΉNow days wanafanya kweli, na madhara yake ni makubwa.
Sijui kwanini watu wanataka kuonana.
Mambo yetu yalikuwa yanaishia hapa hapa.
Hata tukikutana zile get together parties za Mchambuzi hakukua na ulazima wa kusema ID yako ya JF.
Things were bam bam...
Nitakutafuna kama karoti. Jichanganye uoneπHalafu nimeona shemeji alikuwa anaitwa sungura πΉπΉπΉ
Fungukuka tukusaidie.Dah kuna mtu kila nikiona charting zake,I feel deezy
Mwandiko wake ni kama a beautiful breezing wind.
I wish ningekuwa na ujasiri nimwambie but I'm shyfull naturally
Its risk telling what's in your mind while not knowing possible response
πΉπΉπΉ Basi nafumba jicho moja π«£Fumba macho usiioneπ
π€£π€£π€£ nimecheka sana nilivyoona ileNitakutafuna kama karoti. Jichanganye uoneπ
Hiyo for funny ndo kitu hawataki, wao wanataka kujua km yaliyomo yamo?? π€£π€£π€£Wala sio utoto!!
Its funny only...
YeahIs this Sungura?
πΉπΉπΉ kumbe ndo wewe shemelaYeah
Kumekucha kuna mgalatia kashakamatwa πΉπΉπΉDah kuna mtu kila nikiona charting zake,I feel deezy
Mwandiko wake ni kama a beautiful breezing wind.
I wish ningekuwa na ujasiri nimwambie but I'm shyfull naturally
Its risk telling what's in your mind while not knowing possible response
Ha ha ha utakuwa hujui wewe πππJF mpk uzi wa mtongozano upo khaaa!! πΉπΉ
Bantu Lady sisy nimekuona shemeji yuko wapi ss hivi? ππ