Acha kabisa.
Chitchat ilikuwa kitu ya moto.
Mnatongozana, mnakubaliana, mnaachana na hamjawahi kuonana and those days hakuna aliyekuwa anahangaika kumjua mtu!!
Sasa hivi ni zama nyingine kabisa yani.
Kutaka kuonana na kusemana hovyo hovyo π π π π