kiwatengu raia ya mlima wa Mungu napita tu kukusalimia...
Karucee jirani wa zamani tualikane ubweche, nimeona umepigwa ya mkeka na The Gentlemen
Espy we si muchepuko halali wa
Eli79 unatafuta nini huku kwenye mitongozo...
Mi napita nipo shambani nafanya kilimo cha watoto