Soory ur process have been suspended for a while..uchunguzi unaendelea, tukimaliza utaambiwa.
Ila kwa kifupi tu, kuna utata umejitokeza juu ya hii ID yako.
Tafadhali hebu subiri kwanza.
Utajulishwa kwa ujumbe mfupi tukiridhika na uchunguzi unaoendelea.
CC:
Eiyer,
Tuko Eli79 Tyta....