acha kabisa haya mambo hayana ukongwe bana..
huyu wako mamaafacebook ni hatari sana, kabla hajawa wako niliwahi kukutana nae somewhere..
daah hii iwe siri tu coz if my wife get this ni mbayaa
sr bachelor umenikimbia kule kumbe uko huku ndo nin umelala na mkeo hata salam.hamna au mpaka kila siku akuanze ww kama ushapata pa kuchepuka na ww pia useme mana sikulewi
Ndo umekuja? hakikisha hauna mtu, au kama unaye hakikisaha hamiliki silaha(bunduki) akiwa na panga hamna shida tatzo ni hiyo nyingne kupona ni nadra sana maana kwa mistari hautachomoka
Ndo umekuja? hakikisha hauna mtu, au kama unaye hakikisaha hamiliki silaha(bunduki) akiwa na panga hamna shida tatzo ni hiyo nyingne kupona ni nadra sana maana kwa mistari hautachomoka