no! sio uzembe khantwe!
unajua kuna authority flani nilimwachia
miss neddy, kawa mbabe kweli kama mkurya wake!
sasa aliposema pasifutwe, paachwe hivyo hivyo nikakumbuka lugha za kijeshi tunazotumia kule KJ 321!
by the way,
kiwatengu nakuagiza ufanye marekebisho as soon as possible!
No more drama...