We baba paloko nitapandisha mori utanibeba unitembeze majukwaa yote humu jf, haya ebu nitie mtoto mbichi hapa, na umwambie sifa yangu ya kwanza najua sana kusuka kwa hiyo saloon hatakuwa anakwenda kusuka, na dawa(kiloriti) za magonjwa nazijua hapa hosp hawatatuona.