janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Jul 11, 2014 #5,961 kabanga said: kwanini nisikutaje bebi janeth1? hatuwezi kula kwa chu....kamwe! Click to expand... Shikamoo babu mdogo. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabanga said: kwanini nisikutaje bebi janeth1? hatuwezi kula kwa chu....kamwe! Click to expand... Shikamoo babu mdogo.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jul 11, 2014 #5,962 janeth1 said: Shikamoo babu mdogo. Click to expand... mh...bebi....!?
Zekidon JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 1,903 Reaction score 569 Jul 12, 2014 #5,963 Maishaa ya upweke magumu Sana humu ndani, tafadhalini wakongwe mtusogeze jirani ya mabinti walio na hali kama yangu, eti khantwe unaneno la kusema?
Maishaa ya upweke magumu Sana humu ndani, tafadhalini wakongwe mtusogeze jirani ya mabinti walio na hali kama yangu, eti khantwe unaneno la kusema?
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 Jul 12, 2014 #5,964 Zekidon said: Maishaa ya upweke magumu Sana humu ndani, tafadhalini wakongwe mtusogeze jirani ya mabinti walio na hali kama yangu, eti khantwe unaneno la kusema? Click to expand... Abee umeniita?
Zekidon said: Maishaa ya upweke magumu Sana humu ndani, tafadhalini wakongwe mtusogeze jirani ya mabinti walio na hali kama yangu, eti khantwe unaneno la kusema? Click to expand... Abee umeniita?
Menthry Member Joined Jul 1, 2014 Posts 67 Reaction score 16 Jul 12, 2014 #5,965 Khantwe said: Abee umeniita? Click to expand... We si una mume na binti humu, au unataka kuchepuka.?
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Jul 12, 2014 #5,966 Menthry said: We si una mume na binti humu, au unataka kuchepuka.? Click to expand... Aliyekwambia wifi yangu anataka kuchepuka ni nani?Akiitwa asiitike kisa ana mme na watoto?
Menthry said: We si una mume na binti humu, au unataka kuchepuka.? Click to expand... Aliyekwambia wifi yangu anataka kuchepuka ni nani?Akiitwa asiitike kisa ana mme na watoto?
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Jul 12, 2014 #5,967 Honey Faith said: Aliyekwambia wifi yangu anataka kuchepuka ni nani?Akiitwa asiitike kisa ana mme na watoto? Click to expand... Aunt ndomana nakupenda uko vizuri.
Honey Faith said: Aliyekwambia wifi yangu anataka kuchepuka ni nani?Akiitwa asiitike kisa ana mme na watoto? Click to expand... Aunt ndomana nakupenda uko vizuri.
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Jul 12, 2014 #5,968 Khantwe said: Abee umeniita? Click to expand... Shkamoo mom!
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Jul 12, 2014 #5,969 kabanga said: mh...bebi....!? Click to expand... Shkamoo kwa mara nyingine babu kwanini huitiki?
Menthry Member Joined Jul 1, 2014 Posts 67 Reaction score 16 Jul 12, 2014 #5,970 Honey Faith said: Aliyekwambia wifi yangu anataka kuchepuka ni nani?Akiitwa asiitike kisa ana mme na watoto? Click to expand... Bi dada, nimeuliza tu, katika vizuri sana... Ila nimeuliza tu kwani vibaya? By the way michepuko siku hizi ni kawaida kama kunywa maji tu.
Honey Faith said: Aliyekwambia wifi yangu anataka kuchepuka ni nani?Akiitwa asiitike kisa ana mme na watoto? Click to expand... Bi dada, nimeuliza tu, katika vizuri sana... Ila nimeuliza tu kwani vibaya? By the way michepuko siku hizi ni kawaida kama kunywa maji tu.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jul 12, 2014 #5,971 janeth1 said: Shkamoo kwa mara nyingine babu kwanini huitiki? Click to expand... marahaba bebi wangu....
janeth1 said: Shkamoo kwa mara nyingine babu kwanini huitiki? Click to expand... marahaba bebi wangu....
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Jul 12, 2014 #5,972 kabanga said: marahaba bebi wangu.... Click to expand... Nani bebi wako hiyo bebo itamke kwa kiswahili.
kabanga said: marahaba bebi wangu.... Click to expand... Nani bebi wako hiyo bebo itamke kwa kiswahili.
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Jul 12, 2014 #5,973 Menthry said: Bi dada, nimeuliza tu, katika vizuri sana... Ila nimeuliza tu kwani vibaya? By the way michepuko siku hizi ni kawaida kama kunywa maji tu. Click to expand... Wee nani kasema kuchepuka kawaida?
Menthry said: Bi dada, nimeuliza tu, katika vizuri sana... Ila nimeuliza tu kwani vibaya? By the way michepuko siku hizi ni kawaida kama kunywa maji tu. Click to expand... Wee nani kasema kuchepuka kawaida?
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 Jul 12, 2014 #5,974 Menthry said: We si una mume na binti humu, au unataka kuchepuka.? Click to expand... Kwani huyo aliyeniita amesema ana shida gani?
Menthry said: We si una mume na binti humu, au unataka kuchepuka.? Click to expand... Kwani huyo aliyeniita amesema ana shida gani?
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 Jul 12, 2014 #5,975 Honey Faith said: Aliyekwambia wifi yangu anataka kuchepuka ni nani?Akiitwa asiitike kisa ana mme na watoto? Click to expand... Sema wewe wifi yangu walimwengu hawaishiwi maneno.....luv u sana mwaaa...!!
Honey Faith said: Aliyekwambia wifi yangu anataka kuchepuka ni nani?Akiitwa asiitike kisa ana mme na watoto? Click to expand... Sema wewe wifi yangu walimwengu hawaishiwi maneno.....luv u sana mwaaa...!!
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 Jul 12, 2014 #5,976 janeth1 said: Shkamoo mom! Click to expand... Marhabaaa daughter....mkwe wangu hajambo?
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 Jul 12, 2014 #5,977 Menthry said: Bi dada, nimeuliza tu, katika vizuri sana... Ila nimeuliza tu kwani vibaya? By the way michepuko siku hizi ni kawaida kama kunywa maji tu. Click to expand... Labda kwako mi sichepuki
Menthry said: Bi dada, nimeuliza tu, katika vizuri sana... Ila nimeuliza tu kwani vibaya? By the way michepuko siku hizi ni kawaida kama kunywa maji tu. Click to expand... Labda kwako mi sichepuki
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Jul 12, 2014 #5,978 Khantwe said: Marhabaaa daughter....mkwe wangu hajambo? Click to expand... Hajambo mom anakusalim.
Zekidon JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 1,903 Reaction score 569 Jul 12, 2014 #5,979 Yes my dearest khantwe, unavyoitika Tu huwa unanifanya nijione mtawala katika falme za falme, you complete me!!
Yes my dearest khantwe, unavyoitika Tu huwa unanifanya nijione mtawala katika falme za falme, you complete me!!
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 Jul 12, 2014 #5,980 Zekidon said: Yes my dearest khantwe, unavyoitika Tu huwa unanifanya nijione mtawala katika falme za falme, you complete me!! Click to expand... Unataka kuwa mchepuko?
Zekidon said: Yes my dearest khantwe, unavyoitika Tu huwa unanifanya nijione mtawala katika falme za falme, you complete me!! Click to expand... Unataka kuwa mchepuko?