wewe hii ni baraka na bahati kutongozwa na mimi....
huna mbinu za kunipa wewe
Menthry namaliza mwenye hii mechi... au
janeth1?
ubishi ndio akili, usipokuwa mbishi huwezi kusonga kwa chochote....unabisha bebi...!?
kwani umeninyima au ndio kusema nini....? sikubali
kiwatengu msikie huyu anavyoipiga teke bahati....
hajui hapa ndio penyewe....
usijaribu kunipimia, najiweza kwa kila upande....jaribisha ikiwa hujanasa....!