kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Jul 5, 2014 Thread starter #5,781 shaks001 said: Mi jamani nampenda huyu dada anaitwa Heaven on Earth,sijui kwa nini kila nikipita ninapoona jina lake tu nahisi kuna kitu cha tofauti ndani ya moyo wangu.Natamani siku nikutane naye live. Nakupenda sana mine! Click to expand... ngoja atakuja hapa Heaven on Earth umweleze kwa undani zaidi.. hongera sana kwa kumpenda.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
shaks001 said: Mi jamani nampenda huyu dada anaitwa Heaven on Earth,sijui kwa nini kila nikipita ninapoona jina lake tu nahisi kuna kitu cha tofauti ndani ya moyo wangu.Natamani siku nikutane naye live. Nakupenda sana mine! Click to expand... ngoja atakuja hapa Heaven on Earth umweleze kwa undani zaidi.. hongera sana kwa kumpenda..
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Jul 6, 2014 #5,782 I've missed the thread.. how are you all?
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jul 7, 2014 #5,783 hivi naweza kutangaza ndoa kwa mtu ambae ana ndoa nyingine....?
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Jul 7, 2014 #5,784 kabanga said: hivi naweza kutangaza ndoa kwa mtu ambae ana ndoa nyingine....? Click to expand... Hahaaaaaaaa we jamaa umenifurahisha unataka kumuuiga paroko? kiwatengu ngoja aje akupe Jibu... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabanga said: hivi naweza kutangaza ndoa kwa mtu ambae ana ndoa nyingine....? Click to expand... Hahaaaaaaaa we jamaa umenifurahisha unataka kumuuiga paroko? kiwatengu ngoja aje akupe Jibu...
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Jul 7, 2014 Thread starter #5,785 kabanga said: hivi naweza kutangaza ndoa kwa mtu ambae ana ndoa nyingine....? Click to expand... yes you can, tangaza tuthaminishe. ujue hata paroko Eiyer aliiba mke wa mtu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabanga said: hivi naweza kutangaza ndoa kwa mtu ambae ana ndoa nyingine....? Click to expand... yes you can, tangaza tuthaminishe. ujue hata paroko Eiyer aliiba mke wa mtu.
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Jul 7, 2014 Thread starter #5,786 janeth1 said: Hahaaaaaaaa we jamaa umenifurahisha unataka kumuuiga paroko? kiwatengu ngoja aje akupe Jibu... Click to expand... nshamjibu... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
janeth1 said: Hahaaaaaaaa we jamaa umenifurahisha unataka kumuuiga paroko? kiwatengu ngoja aje akupe Jibu... Click to expand... nshamjibu...
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jul 7, 2014 #5,787 janeth1 said: Hahaaaaaaaa we jamaa umenifurahisha unataka kumuuiga paroko? kiwatengu ngoja aje akupe Jibu... Click to expand... ah.. janeth1, unataka kuwa mmoja wao? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
janeth1 said: Hahaaaaaaaa we jamaa umenifurahisha unataka kumuuiga paroko? kiwatengu ngoja aje akupe Jibu... Click to expand... ah.. janeth1, unataka kuwa mmoja wao?
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jul 7, 2014 #5,788 kiwatengu said: yes you can, tangaza tuthaminishe. ujue hata paroko Eiyer aliiba mke wa mtu. Click to expand... nataka nifanye hivyo lakini naona kuna ugpmvi tayari,sasa naona nikae kimya kwanza... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kiwatengu said: yes you can, tangaza tuthaminishe. ujue hata paroko Eiyer aliiba mke wa mtu. Click to expand... nataka nifanye hivyo lakini naona kuna ugpmvi tayari,sasa naona nikae kimya kwanza...
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Jul 7, 2014 #5,789 kabanga said: ah.. janeth1, unataka kuwa mmoja wao? Click to expand... Hapana mwae me siitaji. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
stable woman JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 3,883 Reaction score 4,484 Jul 7, 2014 #5,790 kabanga said: hivi naweza kutangaza ndoa kwa mtu ambae ana ndoa nyingine....? Click to expand... Aisee kumbe!! Mie mgen huku nionyesheni njia ya jukwaa la mapishi!
kabanga said: hivi naweza kutangaza ndoa kwa mtu ambae ana ndoa nyingine....? Click to expand... Aisee kumbe!! Mie mgen huku nionyesheni njia ya jukwaa la mapishi!
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jul 8, 2014 #5,791 stable woman said: Aisee kumbe!! Mie mgen huku nionyesheni njia ya jukwaa la mapishi! Click to expand... utaenda mpikia nani wakati huna bwana...? tuongee vizuri ili twende tukajipikilishe wenyewe au wasemaje stable woman....? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
stable woman said: Aisee kumbe!! Mie mgen huku nionyesheni njia ya jukwaa la mapishi! Click to expand... utaenda mpikia nani wakati huna bwana...? tuongee vizuri ili twende tukajipikilishe wenyewe au wasemaje stable woman....?
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jul 8, 2014 #5,792 janeth1 said: Hapana mwae me siitaji. Click to expand... acha uongo sema kweli...! au tutetee pembeni?
janeth1 said: Hapana mwae me siitaji. Click to expand... acha uongo sema kweli...! au tutetee pembeni?
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 Jul 8, 2014 #5,793 kabanga said: acha uongo sema kweli...! au tutetee pembeni? Click to expand... Hapana jamani walaaaaa....
kabanga said: acha uongo sema kweli...! au tutetee pembeni? Click to expand... Hapana jamani walaaaaa....
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Jul 8, 2014 Thread starter #5,794 kabanga said: nataka nifanye hivyo lakini naona kuna ugpmvi tayari,sasa naona nikae kimya kwanza... Click to expand... ingilia kati ucheze
kabanga said: nataka nifanye hivyo lakini naona kuna ugpmvi tayari,sasa naona nikae kimya kwanza... Click to expand... ingilia kati ucheze
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jul 8, 2014 #5,795 janeth1 said: Hapana jamani walaaaaa.... Click to expand... janeth1, usifanye hivyo bebi, kiwatengu hebu saidia hapa....! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
janeth1 said: Hapana jamani walaaaaa.... Click to expand... janeth1, usifanye hivyo bebi, kiwatengu hebu saidia hapa....!
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jul 8, 2014 #5,796 kiwatengu said: ingilia kati ucheze Click to expand... ah... naona itakuwa balaa kabisaa....
stable woman JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 3,883 Reaction score 4,484 Jul 8, 2014 #5,797 kabanga said: utaenda mpikia nani wakati huna bwana...? tuongee vizuri ili twende tukajipikilishe wenyewe au wasemaje stable woman....? Click to expand... Huu mwezi mtukufu mabwana hawaruhusiwi ntajipikia mwenyewe Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabanga said: utaenda mpikia nani wakati huna bwana...? tuongee vizuri ili twende tukajipikilishe wenyewe au wasemaje stable woman....? Click to expand... Huu mwezi mtukufu mabwana hawaruhusiwi ntajipikia mwenyewe
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Jul 8, 2014 Thread starter #5,798 kabanga said: acha uongo sema kweli...! au tutetee pembeni? Click to expand... hapa Mtoto halali na hela ataleta noma... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabanga said: acha uongo sema kweli...! au tutetee pembeni? Click to expand... hapa Mtoto halali na hela ataleta noma...
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Jul 8, 2014 Thread starter #5,799 stable woman said: Huu mwezi mtukufu mabwana hawaruhusiwi ntajipikia mwenyewe Click to expand... haaah... kabanga mke mwema huyu hapa. anamcha mola wake.
stable woman said: Huu mwezi mtukufu mabwana hawaruhusiwi ntajipikia mwenyewe Click to expand... haaah... kabanga mke mwema huyu hapa. anamcha mola wake.
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Jul 8, 2014 Thread starter #5,800 kabanga said: ah... naona itakuwa balaa kabisaa.... Click to expand... stable woman anateta na wewe...
kabanga said: ah... naona itakuwa balaa kabisaa.... Click to expand... stable woman anateta na wewe...