Basi karibu sana hapa maskani, unaweza kumleta mwenzio ukamtambulisha hapa, kisha mkuu kiwatengu akawaweka pale juu baada ya kukaguliwa, laaa kama unataka mchepuka utapata humu wapo tu.
Jamani nilishindwa kuvumilia mmekaa kimitego sana hasa mlipokuwa mnakaa sebuleni mnapandisha miguu, nachanganyikiwa, ndiyo maana nikakimbia. Au mlikuwa mnanitega maksudi?

asante bwashee nitakaribia lakini itabidi umueleze mamsap Valentina mapema..... kuwa una mgeni anatarajia kuja kuwasalimia.......mana si unajua suala la wivu linavyohusika??????????