he samahani wifi kumbe alikuwa hajakuomba ruhusa? we uran ndo nini kutaka kunigombanisha na wifi yangu?
usijali wifi nilimuomba kwa ajili ya matumizi ya hapa nyumbani mana bi mkubwa alikuwa analalama amesahauliwa......!!!!
utabakia kusema hivyo tu!! kama mlidiriki hadi ku hack account yangu kwa maslai yenu na bado tukawa imara
usitegemee kabisa kukuta mimi na mke wangu tumeachana, tumebadilishana hadi damu jamaa yangu.
only death will separate us!!!!