khaaa we nawe kama mgeni vile kwenye hii post! shansarie alikua yupo humu humu na alikua katulia tuli, ndo maana nkamuonea huruma nkamwachie mme wake maana dada wa watu hakua na kidomodomo,, chezeiya charty weye utadeki bahariii!:wave::redface:
weee kibabuu nlikutongoza mxiuuuu! hebu ntake radhiii lol niwachee huko ebu waeleze ukweli wasiojua past yetu huku naendelea:coffee:
cc kiwatengu, excel,mr.rocky