Jamani kwa uchunguzi nilioufanya inaonekana tarehe 3/04/2014,,kuna mtu mwenye ip address 1.168.........alilogin kama uran akiwa Harare Zimbabwe,,na nilijaribu kufanya upelelezi kwa siku hiyo uran alikuwa Dar es salaam.Hivyo kuonyesha wazi pasipo na shaka kuwa kuna mtu alihack account ya uran!
Hata hivyo natoa onyo kali kwa @ Uran,kubadilisha password yake na kuhakikisha anaitunza vizuri,haya yasijirudie tena!Hata hivyo ili sio tamko la mwenyekiti!
Cc Valentina,,,, ICHANA,, uran,,, Lady doctor,,, kiwatengu,,, Bantu lady,, Mokoyo,,, Rich Pol,,, Kibo10,,, shansarie
Yaani ilikuwa bahati sana shost, na ile interview ilisaidia sana.
Ni mwanaume wa ajabu sana, katulia sana, hana tamaa zaidi ananiheshimu sana.
Mimi ni mtukutu kwake ila hajawahi kurudishia mpaka naogopa.
Waendeleaje lakini luv.
Valentina
uran haya sio maamuzi ya tume,si unaona hata sahihi sio?Mwenyekiti atakuja kutoa tamko.Hii ni kwa mujibu wa teknolojia,utaalamu umeonyesha hauna hatia,ila nakuonya ubadilishe password na uhakikishe haiibiwi tena!nakubaliana kabisa na maamuzi ya tume.
asanteni sana.
Mke!! Nakupenda sana. <3
Ujue nina tumbo la kuendesha mwenzio,mshtuko nlioupata ni mkubwa sana jirani yangu
uran haya sio maamuzi ya tume,si unaona hata sahihi sio?Mwenyekiti atakuja kutoa tamko.Hii ni kwa mujibu wa teknolojia,utaalamu umeonyesha hauna hatia,ila nakuonya ubadilishe password na uhakikishe haiibiwi tena!
yuko poa ondoa shaka
hewaa..asante mkuu kwa kuipenda ndoa yangu.
my wife, come this way!!
i love u
yuko poa ondoa shaka
atarudi tu anakupenda sana namlinda kikamilifu.
Ujue nina tumbo la kuendesha mwenzio,mshtuko nlioupata ni mkubwa sana jirani yangu
vipi kuhusu shape yake? iko vile vile? anakula lakini?
nakupenda sana mke wangu 'Valentina'
anakula vizuri hajabadilika japo stress zinamfanya anaharisha sana.
ni muoga mno