Mkuu kawaida mwizi wa ng'ombe hukamatwa na ngozi, Sasa mkuu
uran hajakamatwa na ngozi, na kilichofanyika ni utaperi kupitia mtandao baada ya acc yake Kuwa wamei hack, huyu bint anatakiwa arudi kwa mumewe tu, ila tamko rasmi atalitoa mwenyekiti wa tume
Lady doctor