Wandugu. Ni nini kinaendelea hapa we uran umemfanya nini mke wako? Na ni nani aliyehack hiyo akaunti yako.,? ICHANA na wewe ni kwanini ulikubali kutongozwa na mtu baki? Wakati ni hivi majuzi umekuwa verified na mke halali wa bwana
Mokoyo?
Kama wengi mlivoshauri ni kweli tume hapa inahitajika
Mke wa Arushaone hebu fanya mambo hapa.
Unda tume huru ya watu wa 4.
Wachunguze hili swala la uran ili kuinusuru ndoa yake.
Na Valentina hebu kuwa mpole na itakupasa usubirie majibu ya tume. Rich Pol anaweza kuwa mjumbe mzuri.
Pamoja na huyu kibo10.
Ili uchunguzi uwe wa huru, inabidi ndugu uran asitishe ushawishi kwa mkewe.
Shem Bantu lady na mumeo sungura1980 ni watu wanaoweza kuwa wajumbe wazuri.
Hii tabia ya kutongoza wake za watu inaudhi sana..
😡😡😡😡
hizi couple si ndo zile mzee wa uganda kazi undia sheria maana hiyo mijina duh
Naangalia tuu manake mnaweza kunipora hata huyu baba yenu.
Wandugu. Ni nini kinaendelea hapa we uran umemfanya nini mke wako? Na ni nani aliyehack hiyo akaunti yako.,? ICHANA na wewe ni kwanini ulikubali kutongozwa na mtu baki? Wakati ni hivi majuzi umekuwa verified na mke halali wa bwana
Mokoyo?
Kama wengi mlivoshauri ni kweli tume hapa inahitajika
Mke wa Arushaone hebu fanya mambo hapa.
Unda tume huru ya watu wa 4.
Wachunguze hili swala la uran ili kuinusuru ndoa yake.
Na Valentina hebu kuwa mpole na itakupasa usubirie majibu ya tume. Rich Pol anaweza kuwa mjumbe mzuri.
Pamoja na huyu kibo10.
Ili uchunguzi uwe wa huru, inabidi ndugu uran asitishe ushawishi kwa mkewe.
Shem Bantu lady na mumeo sungura1980 ni watu wanaoweza kuwa wajumbe wazuri.
Hii tabia ya kutongoza wake za watu inaudhi sana..
😡😡😡😡
Nakubaliana nawe shem tume iundwe jambo hili lichunguzwe kwa jicho la3. Vinginevyo nita.....
shansarie nimeshapata ufafanuzi mahsusi, nawakubali sana sasa hivikipi ambacho uelewi kiwatengu ni mume wangu halali nampenda hadi natetemeka
Rich Pol nimeshawakubali, ni couple iliyotulia, naipa heshima.Mbona wapo kwenye tume huru ya uchunguzi wa issue yako.
Uyu ni kama fisi anaevizia
Sina ndugu yangu sijapata shemeji hata pacha wake tuunganishe undugu.
Mimi fisi? Nakusubiri nyumbani kwangu, wakati tume inachunguza si unaletwa kwangu? Ndiyo utajua ufisi wangu.
Yakweli haya?
Nyooo...majibu yanakaribia kutoka